NAFASI YA KAZI KARANI WA KITENGO CHA SIASA UBALOZI WA JAPAN
1. Kazi
a) utafiti wa siasa yz tanzania na diplomasia yakeb) utangazaji wa sera ya japani kwa kiswahili
c) kazi ndogo ndogo za kitengo cha siasa, hasa ya microsoft windows
2. Sifa zinazohitajika
a) digrii ya siasa, uhusiano wa kimataifa, au kiswahilib) ujuzi wa msigi wa kutumia kompyuter
3. Namna ya kuomba nafasi hii
tuma maelezo binafsi ya mwombaji (yaani CV) nakala ya cheti cha kuhitimu masomo ya chuo kikuu, na rekodi zote za matokeo ya masomo za chuo kikuu ambazo zimethibitishwa na chuo hicho, hizi zote zitumwe kwenda:-
Kitengo Cha Siasa
Ubalozi Wa Japani
S.LP 2577
Dar es Salaam