Napenda Kuchukua Nafasi Hii Kuwatakia Wadau Wote Wa Jobstanzania.net A Happy Eid-Al-Fitr, Na Kwa Wale Walioweza Kitimiza Nguzo Hii Muhimu Ya Kufunga Katika Mwezi Huu Wa Ramadhani Basi Naomba Mwenyezi Mungu Azikubali Funga Zenu Na Dua Zote, Mwenyezi Mungu Awazidishie Mema Ya Duniani Na Funga Zenu Ziwe Za Kheri,
Sherekeheni Siku Kuu Hii Kwa Amani Na Upendo, Na Kufanya Yale Yote Yanayo Mpendeza Mwenyezi Mungu. Tunakutakia Eid Mubarak Kwa Wewe Na Familia Yako Na Mwenyezi Mungu AwabarikiNa Mpate Barakah(Baraka) Katika Dunia Na Akhirah (Akhera).
Eid Mubarak Kutoka Kwa Timu Nzima Ya Jobstanzania.net
Regards
Ally E.H Msangi,
Founder of Jobstanzania website
Email: ally@jobstanzania.net
Mobile: +255 754 412647
Website: www.jobstanzania.net