Thursday, September 01, 2016

Branch Manager

Tags

Cassandra Lingerie ni maduka yanayouza nguo za ndani za wanawake pamoja na urembo. Inatangaza kazi za Branch Manager Mkoa wa Mwanza.

VIGEZO:
1. Lazima awe Mwanamke
2. Awe na master Degree in Business & Marketing
3. Awe na uzoefu usiopungua miaka 3.
4. Awe Mbunifu.

MAJUKUMU:
1. Kusimamia maduka yanayouza brassier, Underwear na Urembo.
2. Kuandaa ripoti, ya Siku, Wiki na Mwezi kwa usahihi na kwa wakati.
3. Kusimamia  stock iliyopo dukani.
4. Kusimamia wauzaji


KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0763810571