NAFASI ZA KAZI YA UANDISHI
Mambo PUBLISHERS ni kampuni inayo jihusisha na uandishi wa vitabu, vijarida pamoja na ufanyaji wa tafiti katika maeneo mbalimbali kama vile elimu, afya na uchumi.
Tunatangaza nafasi za kazi ya uandishi kwa waombaji wenye sifa zifuatazo ;
1. Awe wa jinsia ya kike mwenye umri wa kuanzia miaka 20 hadi 45
2. Awe na elimu ya Shahada Ya Uandishi wa Habari kutoka katika Taasisi inayo tambulika kiserikali au elimu Shahada yoyote itakayo muwezesha kumudu vyema jukumu la kufanya tafiti na kuandika juu ya masuala mbalimbali ya kijamii.
3. Awe maridadi, mwenye bidii sana, anaye jituma na anayeweza kufanya kazi " under pressure"
4. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za kiswahili na kiingereza .
5. Awe na walau elimu ya msingi " basic knowledge " ya matumizi ya kompyuta.
6. Awe na skills za masuala ya research pamoja na ufahamu wa kutosha juu ya changamoto zinazo wakabili wanawake watanzania katika mapambano dhidi ya ukimwi.
MAJUKUMU ;
Kufanya utafiti na kuandika kitabu kuhusu changamoto zinazo wakabili wanawake wa tanzania katika mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi.
IDADI YA NAFASI : Nafasi 4.
MAOMBI : Tuma barua maombi yako kwenda kwa :
MANAGING DIRECTOR,
Mambo PUBLISHERS,
P.O.Box 35584,
DAR ES SALAAM.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya barua pepe yetu ambayo ni : mambopublishers @ gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 27 NOVEMBA 2012..