Nafasi za kazi brac arusha na mwanza ni
1) Accauntacy nafasi 4, arusha.-degree/diploma ya accountancy
2) Afisa mikopo nafasi 24
- nafasi 15 arusha,
- nafasi 9 mwanza
sifa za amwombaji
- awe na elimu ya form four na kuendelea
- awe na lugha nzuri kwa watu
- mwenye ujuzi na computer atapewa kipaumbele
maombi yote yatumwe kwa email jaclinemassawe@yahoo.com
maombi yatumwe kabla ya tarehe 2/8/2012